Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Diamond Platnums Afanya Kufuru Anunua Cardilac ya Pili Zero Kilometer

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


BAADA ya Staa wa Muziki Barani Afrika @diamondplatnumz Kuvuta Cadillac Escalade Black Edition 2020 Mpyaaa Kutoka kwenye Maganda yake .

Hii inakua ni Cadillac Escalade ya PILI kwa @diamondplatnumz kununua ndani ya Miezi Miwili ukiachana na Ile ya Kwanza iliyovuja mitandaoni Wiki kadhaa zilizopita .

Kwa Mujibu wa Mmoja wa Mameneja wa Diamond , @donfumbwe anadai kuwa anachokifanya Diamond kwasasa ni Kununua 'MSAFARA' ambao utakua na Cadillac Escalades 2 na Rolls Royce 1 .

Cadillac ni Gari ambazo Wanamuziki wengi mabilionea wa nchini Marekani wanapenda kuzitumia , Pamoja na Marais wa nchi hiyo : hivyo ili uweze kuinunua unahitaji uwe na Mfuko uliotuna Haswaaa !!

Big Congratulations kwa @diamondplatnumz 🙌🏽

Post a Comment

0 Comments