.

6/07/2021

Floyd Mayweather na Logan Paul Hakuna Mbabe, Pambano Lipigwa Bila Majaji


Bondia na YouTuber #Logan Paul amefanikiwa kumaliza pambano la Raundi 8 huku akikataa K.O dhidi ya bingwa wa masumbwi duniani Floyd Mayweather

Pambano hilo lililokuwa la maonyesho hakupatikana mshindi kutokana na kanuni za mapambano ya maonesho (ExhibitionFights), mshindi hupatikana kwa K.O

Sheria za pambano hilo zilikuwa ni kila round itachezwa kwa dakika 3, Hakuna Mshindi atakaetangazwa kwa ushindi wa point pia hakukuwa na Majaji.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger