Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Kuwe na Utaratibu wa Kufuatilia Fedha Kwenye Mitandao ya Simu Kwa Watu Wanaofariki

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema watu wanaofariki na kuacha fedha kwenye mitandao kama TigoPesa, M-Pesa, Airtel Money na nyinginezo wanazinufaisha Kampuni za Mawasiliano huku Serikali ikiwa haipati kitu

Ameishauri Serikali iweke utaratibu ili ndugu wa karibu waweze kudai fedha hizo na Serikali kunufaika kwa upande mwingine ili Mitandao hiyo isinufaike pekee yake kutokana na fedha nyingi ambazo waliofariki huziacha

Post a Comment

0 Comments