Ndege ya Makamu wa Rais Marekani Yatua Muda Mfupi Baada ya Kupaa

advertise hereTatizo la kiufundi limepelekea ndege ya Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris kurejea #Maryland takriban dakika 30 baada ya kuondoka kuelekea Guatemala na #Mexico

Air Force Two ilitua salama huku Harris akisema yupo sawa na wote walifanya maombi. Aliondoka kwa ndege nyingine saa moja na nusu baadaye

Msemaji wa Makamu wa Rais amesema muda mfupi baada ya kuruka wafanyakazi wa ndege waligundua gia ya kutua haikuwa inavyotakiwa, na ingeweza kusababisha matatizo zaidi ya kiufundi


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE