.

6/03/2021

Oscar Oscar "Yanga Wapo Serious Suala la Morrison, Wana Watu Makini na Wanaweza Kushinda Kesi Dhidi ya Simba Mtashangaa"

 


Mtangazaji wa Efm na TVE Oscar Oscar ameeleza kuwa Yanga wanaweza kushinda kesi ya Morrison kwa sababu wapo na watu sahihi na wapo serious na kesi ile maana wamejiridhisha.


Mbali na hilo ameeleza kuwa endapo Yanga wasipopelekea timu uwanjani kama maneno yanavyosikika watakuwa wameleta picha mbaya sana na anaomba TFF wachukue sheria kufuata sheria za mpira ambapo timu inatakiwa kushuhwa madaraja mawili. pia amemtahadharisha msemaji wa Yanga Hassan Bumbuli kwa kauli zake anazozitoa kuwa Yanga ameshacheza na Simba wao wamebakiza michezo minne tu.

Bongo5

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger