Al Ahly Yatwaa Ubingwa wa 10 Afrika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




MABINGWA watetezi wa Klabu Bingwa barani Afrika jana usiku Julai 17, wamefanikiwa kutetea ubingwa wa ligi hiyo baada ya kuishushia kipigo Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa fainali kwa mabao 3-0.

 

Mbali na kutwaa mara mbili mfululizo lakini miamba hiyo ya soka kutoka nchini Misri imeendelea kutanua wigo wa rekodi yake ya kuwa mabingwa wa kihistoria wa kombe hilo ambapo sasa wamefikisha mara 10.

 

Kwa upande wa kocha wa timu hiyo Pitso Mosimane ametwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika mara tatu. Alitwaa ubingwa wake wa kwanza msimu wa 2015/16 akiwa na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kisha msimu wa 2019/20 akiwa na Al Ahly na sasa 2020/21 akiwa bado na Al Ahly.

 

Kaizer Chiefs ambao walikuwa wanacheza fainali yao ya kwanza katika historia yao, walifika hatua wakiacha kumbukumbu ya kuitoa Simba SC ya Tanzania katika hatua ya robo fainali kabla ya kuitoa Wydad Casablanca kwenye nusu fainali.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad