Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Kati Ya Manara na Babra Ni Yupi Anafaaa Kuwapisha WanaSimba?

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREHaji Manara Ametukanwa Mara Nyingi Kwaajili Ya Simba.

Ameipambania Simba.

Amesaidia Kukuza Brand ya Simba.

Amesaidia Kuleta Hamasa Kubwa Za Utani Wa Jadi.

Amepambana Sana Kuifanya Simba Ipende/Itaniwe Na Watani Wake Yanga.

Anaijua Simba Vizuri.

Je, Barbra Kumtuhumu Kuihujumu Klabu Ni Sawa Kweli?

Ikitokea Nafasi Ya Mmoja Kuondoka.

Kati Ya Manara na Babra Ni Yupi Anafaaa Kuwapisha WanaSimba????

Post a Comment

0 Comments