Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Niliipata Kamera Yangu Yenye Thamani ya 2,000,000 Nilikuwa Nimeporwa Wakati Narejea Nyumbani

 


Kuchukua mali ama kitu cha mtu mwingine huwa ni jambo ambalo hukiuka kanuni za jamii  haswa katika mila na desturi za kiafrika. Licha ya kuwa mwiko, hilo halikuwazuia vijana watano  niliokumbana nao siku moja nilipokuwa natoka kazini kupora na kukimbia na picha ya kampuni  ya uandishi amabayo nilikuwa nimetwikwa jukumu la kuitunza kamera ile. Usiku huo nilitembea  pole pole gizani na baada tu ya kufika katika barabara panda katika eneo la Kayole nilipigwa na  kifaa butu kwenye kifua changu na hapo nikajipata hospitalini kwani singeweza kusimulia zaidi  yaliyokuwa yametokea wakati ule. Ama kwa hakika mtaa wa Kayole ulijulikana kuwa na vijana  ambao walikuwa wametokwa maadili na ambao walikuwa ni pwagu. Wiki haikukamilika bila ya  fununu za kijana mmoja kuwa ameuwawa na polisi kwa kupatikana katika shughuli za wizi. Walijiingiza katika magennge ambapo waliwaibia wakazi wa mtaa ule kila mara. 

Baada ya kupata nafuu, nilitoka hospitalini na punde niliporejea kazini nilipigwa na butwa kwani  nilipata barua ya kufutwa kazi na kampuni ile tajika ya uanahabari ambayo sitoitaja. Kulingana  na barua ile walisema kwamba hawakuniamini na kuwa walikuwa na ushahidi tosha nilikuwa  nimeiuza picha ile. Nilianza kukumbwa na mzomgo wa mawazo kwa kuwa sikuwa na kmahali  pengine pa kupata kipato cha kila siku. Isitoshe nilikuwa na familia change ambapo wote  walinitegemea katika hali. Vidonda vya tumbo vilifuatia kwani sikujua ningeanzia wapi wala  ningemalizia wapi. Marafika wote walinitoroka huku wazazi wangu wakinitenga. Mke wangu  pia alinitoroka kwani alikuwa ameambiwa kasumba kutoka kwa marafiki wangu waandishi  kwamba nililikuwa nimeiuza picha ile na kuwa nilikuwa mtu ambaye sikuwa mwaminifu  kamwe. Hali hiii ilinifanya kuwa na upweke swala ambalo nilichanganyikiwa ningesuluhisha  vipi. Nilijaribu kupiga ripoti kwenye vituo mbalimbali vya polisi lakini hakuna chochote 

kilichoendelea kwani hakukuwa hata na ishara ya kutia wezi wale mbaroni. Nilisalia mahame  njini na kuelekea kuishi na ndugu yangu kwa kuwa maisha yalikuwa yamenilemea kwa kuwa  nilikuwa keshapigwa kalamu. Nilianza kupata nafuu baada ya rafiki yangu Silas kunielekeza  

kwa daktari tajika wa miti shamba aliyefahamika kama daktari Kiwanga aliyeishi mjini Kericho. Hapo tulifunga safari hadi mjini Kericho kwa jili ya usaidizi. Nilishugulikiwa na daktari  Kiwanga ananipa hakikisho kwamba ningepata picha ile na pia ningerejea kazini punde tu  ningeiwasilisha kamera ile. Nilirejea kwenye mtaa wa Kayole na baada ya siku tatu niliyaona  maajabu. Vijana watano walifika pahali nilipokuwa niishi huku wakila mchanga na kuomba  msamaha.walikuwa wameibeba picha ile na hapo ilikuwa ishara tosha kwamba daktari Kiwanga  alikuwa ni mtu wa kusaidia watu. Nilimpigia simu kumwelezea habari njema na hapo  akaamrisha vijana wale walipe shilingi elfu kumi kila mmoja ile wawezr kupata nafuu. 

Siku iliyofuatia niliandamana na picha ile hadi kwenye kampuni niliyokuwa nikifanya kazi. Hawakutarajia kwamba picha ile ya thamani kubwa ingerejea kwa wakati mmoja kwani  walidhani kuwa nilikuwa kasha ipiga mnada. Mkuu wa kitengo cha uandishi alinipongeza kwa  juhudi zangu za kuirejesha picha ile kwa sababu ilikuwa imewagarimu hela nyingi zaidi  kuinunua. Baada ya siku tatu niliporejea nyumbani nilipata ujumbe kwenye barua pepe kwamba  nilikuwa tayari huru kurejea kazini. Ama kwa hakika daktari Kiwanga ni mtu wa kutegemewa  kwa wakati wowote ule. 

Daktari Kiwanga ana uwezo wa kutibu maradhi kama vile msukumo wa damu, kifaduro, kifua  kikuu na mengineyo kwa muda wa siku tatu pekee. Anakuwezesha pia kuimarisha biashara yako  inayoonekana kama inaenda chini. Anawapa watu kama wahubiri nguvu za kuita waumini wengi  zaidi katika huduma zao. Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com 

ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com 

ama waweza  kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965.


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments