.

7/30/2021

Wasiotaka kuchanjwa mnawezaRAIS wa Ufilipino Rodrigo Duterte, amewaonya raia wake wasiotaka kuchanjwa dhidi ya ugonjwa wa corona kusalia majumbani mwao kwa kuwa hata wakifa yeye hatajali.

RAIS wa Ufilipino Rodrigo Duterte.
Rais huyo amesema watu wanaokataa chanjo wamekuwa ni tisho kwa nchi kwa sababu watakuwa ni wasambazaji wanaotembea wa virusi hivyo.

“Kwa wale watu ambao hamtaki kuchanjwa nawaambia msitoke nyumbani kwenu.Ukitoka nyumbani kwako ,nitawaambia polisi wakurejeshe ndani.”

Utasindikizwa kurejea kwako kwa sababu wewe ni msambazaji unayetembea wa virusi hivi, Iwapo hutaki kuchanjwa basi usitoke kwako, tuwape chanjo wanaozitaka, na wasiotaka kuchanjwa basi mnaweza kufa wakati wowote, MIMI SIJALI”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger