.

8/22/2021

Aibu..Paula Akopi Caption ya Mtu Mwingine Kumuwish Rayvanny Happy Birth Day..Afuta na KueditHivi ingekuwaje ukagundua maneno matamu aliyokwambia mpenzi wako kwenye siku yako ya kuzaliwa hayajatoka moyoni mwake bali kayaiba sehemu fulani na kupaste kwake hadi kituo?

Bongo haina dogo, hii ni baada ya Paula Kajala kubainika kuwa amekopy caption kwa mtu anayefahamika kama Emily Cruz yenye ujumbe wa kumtakia kheri mpenzi wake kwenye siku yake ya kuzaliwa ambayo aliipost August 28,2019 na caption hiyo imepishana kidogo na ile Paula hasa kwenye maneno yalioendelea chini lakini kwa asilimia 99%,Paula kapita nayo.

Si kitu kibaya kucopy ila pia inakata mood kwa mtu aliyeambiwa (Mr Vumbi). Hasa Baada ya mashambulizi kuwa makali mitandaoni,Paula ameona isiwe kesi ameiedit caption hiyo na kujaza udambwi mwingine.

Hadi taarifa hii inapanda hewani,msako unaendelea kuona mwanafunzi huyu ni wapi amepita kucopy tena😁🙌

Follow @sajomedia kwa taarifa zaidi.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger