.

8/15/2021

Ben Pol Afunguka Sababu za Kuwa Mvivu Kuachia Nyimbo Mpya Tofauti na Wenzake


Star wa RnB BenPol amefunguka kuhusu Kutotoa sana nyimbo kila wakati kama wasanii wenzake na kuonekana kama ameridhika
.
Benpol ameweka wazi kuwa hajaridhika ila Ratiba yake ya kutoa nyimbo haipo kama ya wasanii wengine


"Sijarelax ila ratiba yangu ya kutoa wimbo haipo kama ya wasanii wengine mimi nyimbo zangu sio Big g kwamba zinaisha utamu mapema ndio maana unakuta sitoa wimbo mara kwa mara unakuta wimbo wangu mmoja unadumua hata miaka 10' leo ukienda kwenye show usipoimba Nikikupata Mashabiki hawatakuelewa Sijarelax ila Ratiba ziko tofauti " -@iambenpol .

Kwa sasa Mshabiki wa Benpol wanaburudika na Ep yake ambayo imbebea ngoma nne ikiitwa *B .

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger