.

8/01/2021

Ben Pol na Aliyekuwa Mchumba Wake Anarlisa Kutoja Kenya Kugawana Mali?


Mtangazaji Frida Amani kutoka Clouds FM amemuuliza Mwanamuziki Ben Pol aliyekuwa mume wa Mrembo Tajiri Arnelisa kutoka Kenya kuhusu mchongo wa kugawana mali baada ya kuachana na Mrembo Anerlisa ambaye alikuwa Mke wake, majibu ya Ben Pol ni 👇🏽

“Mimi na aliyekuwa mke wangu hatukusaini chochote kuhusu mali, pili hatukuchuma chochote kwenye ndoa yetu na tatu hicho hakikuwa kipaumbele changu! Imebaki hivyo tu,” -@iambenpol •
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger