.

8/16/2021

Breaking News: Upinzani WASHINDA Kiti Cha Urais ZambiaKiongozi wa Upinzani #Zambia, Hakainde Hichilema ameshinda Urais dhidi ya Rais Edgar Lungu

Hichilema amepata kura milioni 2.8 huku Lungu akiwa wa pili kwa kupata kura milioni 1.8

Edgar Lungu amekuwa Rais wa Zambia tangu January 25, 2015 kwa sasa atakabidhi kijiti kwa upinzani
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger