.

8/03/2021

Bunge Lathibitisha: Wabunge Wote Wanakatwa KodiOfisi ya Bunge la Tanzania imesema, wabunge kama ilivyo kwa watumishi wengine wa umma na viongozi wa kisiasa wanakatwa kodi zote stahiki kwa mujibu wa sheria ikiwemo kodi ya mapato (PAYE) inayokatwa kwenye mishahara ya wabunge. Imesema taarifa zinazosambaa hawakatwi hazina ukweli.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger