.

8/15/2021

DC Msando Apata Ajali Mbaya ya Gari
MKUU wa wilaya ya Morogoro Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongana uso kwa uso na gari lingine lilokuwa linaelekea.

Ajali hiyo imetokea wakati mkuu huyo wa Wilaya akiwa kwenye msafala wa ziara ya waziri Mkuu uliokuwa unatoka Dakawa kuelekea Morogoro mjini.


Mkuu wa wilaya pamoja na dereva wake wote wamelazw katika hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger