.

8/17/2021

Hatma ya Mchezaji Christiano Ronaldo..Real Madrid WawewesekaKwa mujibu wa Edu Aguirre ambaye ni Rafiki wa karibu wa Ronaldo kwenye interview yake usiku wa kuamkia leo ni kuwa Kocha Carlo Ancelotti ndie anahitaji Ronaldo arejee Real MadridReposted from @shaffihdauda_ HATMA YA CRISTIANO RONALDO| @asas_dairies Kww mujibu wa Edu Aguirre ambaye ni Rafiki wa karibu wa Ronaldo kwenye interview yake usiku wa kuamkia leo ni kuwa Kocha Carlo Ancelotti ndie anahitaji Ronaldo arejee Real Madrid Carlo amekuwa akipiga simu nyingi kwa watu wa Ronaldo juu ya Mreno kurejea, huku Viongozi wa Madrid wakikubaliana na matakwa ya Kocha wao Ronaldo yupo tayari kurejea Real Madrid, huku wachezaji wa Madrid pia wana furaha kubwa juu ya urejeo wa Cristiano Ronaldo Kilichosalia mpaka sasa ni kuona kama anaondoka msimu huu au mwishoni mwa msimu, ila Don Carlo anamuhitaji sana

Carlo amekuwa akipiga simu nyingi kwa watu wa Ronaldo juu ya Mreno kurejea, huku Viongozi wa Madrid wakikubaliana na matakwa ya Kocha wao

Ronaldo yupo tayari kurejea Real Madrid, huku wachezaji wa Madrid pia wana furaha kubwa juu ya urejeo wa Cristiano Ronaldo

Kilichosalia mpaka sasa ni kuona kama anaondoka msimu huu au mwishoni mwa msimu, ila Don Carlo anamuhitaji sana
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger