.

8/26/2021

Manara Awachana Tena Simba "Kama Mlinitengeneza Kweli Tengenezeni HAJI Manara Mwingine, Watu wa Ajabu Sana Ninyi"Kuna jambo linarudiwa sana kwamba huo umaarufu tumekutengenezea simba, kwani simba ilishakuwa na wasemaji wangapi kabla, kama wanaweza kutengeneza haji manara mwingine si wamtengeneze sasa hivi kama ni kazi rahisi, mimi nilifanya kazi, watu wa ajabu sana hawa, nimesamehe" - amesema Haji Manara

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger