Ticker

6/recent/ticker-posts

Mwanamuziki Tyga Kufungua Mtandao Mpya wa Ngono OctoberBaada ya mtandao wa OnlyFans wenye maudhui ya picha na video za ngono kutangaza nia ya kufuta maudhui hayo, Rapper tokea nchini Marekani, @tyga ametangaza nia ya kutaka kufuta account yake kwenye mtandao wa OnlyFans licha ya kuwa ni mbunifu mkubwa wa maudhui ya ngono kwenye mtandao huo.

Lakini pia Tyga amewaambia watu wanao fanya kazi hizo (sex workers) wasijali maana ameamua kuanzisha mtandao wake mpya wenye maudhui sawa na mtandao wa OnlyFans ambao utaitwa Myystar.

Tyga alijiunga na mtandao wa OnlyFans mwezi wa tisa mwaka jana na amefanikiwa kutengeneza pesa kiasi cha dolla za kimarekani $8 milioni zaidi ya billion 16 za kitanzania kulingana na maudhui anayoweka kwenye mtandao huo.

Mtandao huu unajiunga kama mwanachama na subscribers wote wanalipwa asilimia 10% ya mapato ya mbunifu wa maudhui kwenye account ambayo utakuwa umesubscribe.


Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments