.

8/21/2021

Mwendelezo wa Bata kwa Mrembo Uwoya


Baada ya kula bata ughaibuni Dubenga {DUBAI} Mrembo wa bongo movie Irene Uwoya ametua visiwani Pemba kwa ajili ya kile anachodai yeye kutumbua jasho lake {BATA}.

msafara wake umewashtua wana Pemba na kuwaacha midomo wazi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni  msafara wa kukata na shoka .

mwanadada huyu amezua taharuki tangu aonekane kwenye mitandao ya kijamii akiponda mali uku watoto wa mjini wakiita [BATA} amefanya kufuru ya pesa na yeye akidai kwamba ni moja ya  kinachompa furaha katika maisha yake na familia yake kwa ujumla.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger