.

8/10/2021

Paula Aonyesha JEURI kwa Fahyma "Amtaka Atoe Cheti cha Ndoa na Rayvann"

Kiufupi naweza sema mtoto kashakuwa, baada ya shabiki mmoja kumuuliza Paula kupitia Instagram kuwa "Unajua uchungu wa mume wew ila muonee huruma fahima umurudishie mume wake" 

PAULA alimjibu hivi 👇
Cheti cha ndoa please.!

Akiwa na maana kuwa Fahyma sio mke halali wa Rayvanny na kama ni hivyo basi alete cheti cha ndoa 

Rayvanny na Paula kwa sasa wanatoka kimapenzi na wameweka wazi penzi lao
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger