.

8/06/2021

Wizkid avunja rekodi ya mauzo tiketi huko London

Mkali kutokea Nigeria, Wizikid ambae time hii amechukua Vichwa vya Habari baada ya kuutaarifu umma kumalizika mapema kwa tiketi za show yake inayotarajiwa kufanyika Uingereza.
Show hiyo inatarajiwa kufanyika mnamo 26th Novemba 2021 katika ukumbi wa 02 London Arena ambao uingiza watu zaidi ya Elfu 2o.

Staa huyo alithibitisha Taarifa hizo za kumaliza kwa tiketi za show yake kupitia Instagram ambapo aliandika…….”Sold out the O2 in 12mins!! Love u london!! ๐Ÿ–ค❤️๐Ÿฆ…” ✍…”.@wizkid”

Na miongoni mwa nyimbo zake zinazofanya vizuri kwasasa kwenye charts mbalimbali ni huu uitwao Essence aliyomshirikisha Tems ambao kupitia mtandao wa Youtube umetazamwa na watu zaidi ya 19,206,422


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger