.

8/09/2021

Whozu Afunguka ya Moyoni Kwa Mpenzi Wake Tunda "Yes baby am coming"


Mwimbaji Whozu Anasema kitu anacho penda kwa mke wake ni kumkiss kila muda na anapenda sana kumuangalia usoni.

"Niwaambieni tu Mwenzenu me napenda kumkiss mama Lolla kila mda, ni kama dozi kwangu lips zake na nikikaribia sasa huwa napenda kumwangalia machoni , macho yake sasa..aaaw, huku nikimnongoneza kwa skio, Yes baby am coming"

Neno moja kwa whozu tafadhali.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger