.

9/05/2021

AFGHANISTAN: TALIBAN YAVUNJA MAANDAMANO WA WANAWAKE KUDAI HAKIMaafisa wa Taliban wamevunja maandamano ya Wanawake kadhaa huko #Kabul. Imeelezwa Wanawake hao walikuwa wanadai Haki ya kufanya kazi na kujumuishwa Serikalini

Kundi hilo limesema mabomu ya machozi yalitumika kuwasambaratisha wakati wakijaribu kutembea kwenda Ikulu ya Rais

Huu ni mwendelezo wa maandamano kadhaa ya Wanawake Kabul na #Herat. Wengi wana hofu hali itarejea kama iliyokuwa kati ya 1996 na 2001 ambapo Taliban walishika Madaraka
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger