.

9/04/2021

Akamatwa kwa kujifanya Makamu wa rais na kutibiwa bila malipo Zimbabwe
Mwanamume mmoja raia wa Zimbabwe ameshtakiwa kwa ulaghai baada ya kujifanya Makamuwa rais wa nchi hiyo na kupata huduma ya matibabu bila malipo.Mahakama katika mji mkuu wa Harare, alifahamishwa kuwa Marlon Katiyo, 35, alitembelea hospitali mbili mara kadhaa mwezi uliopita kupata matibabu ya maumivu ya kichwa akisema kwamba alikuwa, Makamu wa Rais Constantino Chiwenga.

Bwana Katiyo, amabye hajatoa tamko lolote kuhusiana mashtaka hayo alipewa matibabu ya bure.

Ombi la dhamana alilowasilisha linatarajiwa kusikizwa siku ya Ijumaa.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger