.

9/11/2021

Baada ya Diamond Kuvaa Cucci Feki MDAU Afunguka
Baada ya account inayojihusisha na kubainisha mastaa wanaovaa bidhaa feki za Gucci, @fake_guccicommunitysa watu wengi wametoa maoni yao baada ya Account hiyo kumpost staa wa Bongo Flava @diamondplatnumz akiwa amevalia viatu vya Gucci vinayodaiwa ni feki na ikisisitizwa bidhaa hizo hazijawahi tengenezwa na Gucci na havitarajiwi kutengenezwa na kampuni hiyo,kilichofanyika ni danganya toto ya mfanano wa bidhaa za Gucci.

Mmoja wa waliotoa maoni kwa page hiyo amedai Gucci wanapaswa kumpa sifa zake msanii huyo maana kila fundi anayetengeneza bidhaa hizi zinamkaa vizuri. Na wakumbuke jukwaa lao si kuibua haya pekee bali kukuza wabunifu waliofichika.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger