Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Billnass Hata Uwe na Pesa Vipi Bado Hutaweza Kuibeba Maiti yako wala Kujizika Mwenyewe""Kwenye Maisha hakuna Kumaliza ama kuyaweza mpaka siku Unafukiwa chini, Jiulize ni watu wa ngapi umewahi kuwajua walikuwa Maaarufu mpaka ukadhania wamemaliza lakini leo huyakumbuki majina yao kwa ukubwa huo?? Je! ni wangapi walikuwa na Biashara zilizoshamiri na leo wamefilisika?? Wangapi walikuwa na Nguvu kiasi cha kuona hakuna anaemuweza lakini leo hawana tena ?? Wangapi walikuwa na Nyumba ama gari za kifahari na leo hawana hata kimoja?? Hakuna Utajiri Mzuri kama Kuishi na Watu Vyema...Hata Uwe na Pesa Kumzidi Bill Gates Bado hutaweza kuibeba maiti yako wala kujizika mwenyewe...Hata Uwe Maarufu kumzidi Michael Jackson Bado utahitaji watu ! Ukiwa Mwizi utawaibia Watu,ukiwa Muimbaji Utawaimbia Watu,ukiwa Muhubiri Utahubiria Watu,So Heshimu sana Watu Ishi Vizuri na Kila Mtu....hakuna Dunia Bila Watu πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ "...>>BY (@billnass)

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments