Ticker

6/recent/ticker-posts

Bunge lapitisha sheria kuwa kukutwa na bangi au mirungi ni jinai
Bangi na Mirungi imeongezwa kwenye makosa ya Jinai, na sasa kesi ya kukutwa nayo itasikilizwa Mahakama Kuu au Mahakama za Wilaya

Awali, kukutwa na Mirungi ilikuwa kosa lakini Sheria haikutamka kuwa ni jinai hadi Muswada ulipopitishwa rasmi Septemba 7 na Bunge la Tanzania


Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Prof. Adelardus Kilangi amesema lengo la marekebisho hayo ni kupunguza mrundikano wa kesi zinazosubiri kupelekwa Mahakama Kuu kusikilizwa
 


Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments