.

9/08/2021

Haji Manara "Ndoto Yangu ni Kuwa Rahisi Naanza na Ubunge"


Msemaji wa Yanga, Haji Manara amesema ndoto yake ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo katika kufikia Ndoto hiyo ana mpango wa kujiendeleza Kielimu ili atakapogombea Ubunge 2025 aweze kuteuliwa kuwa Waziri.

Amesema atakapokuwa Rais anaaminisha anaweka vipaumbele vya Kitaifa ambavyo hata Rais wa chama chochote aweze kufanya Mambo ambayo ni kipaumbele kwa Taifa.

Aidha, atahakikisha nchi ya Tz haipitwi na nchi nyingine jirani.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger