Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kumekucha Afghanistan.. Wanaume WAZUILIWA Kunyoa au Kupunguza NdevuViongozi wa #Taliban wamepiga marufuku vinyozi Nchini humo kuwanyoa au kuwapunguza ndevu Wanaume, wakisema kufanya hivyo kunakiuka #Sheria ya Kiislamu

Maagizo hayo yanaashiria kurudishwa kwa Sheria kali kama zile zilizokuwepo wakati Kundi hilo lilipokuwa Madarakani awali ambapo lilipiga marufuku mitindo fulani ya nywele na kusisitiza Wanaume wafuge ndevu

Katika ilani iliochapishwa, vinyozi wametakiwa kufuata Sheria ya Kiislamu katika kunyoa nywele za kichwani na ndevu na hakuna hata mtu mmoja anayeruhusiwa kulalamika.


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments