Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kumekucha, Maua Sama Amefanya Ngoma na T Pain wa Marekani, Atangaza Kuiachia


Star Wa Muziki Nchini πŸ‡ΉπŸ‡Ώ @mauasama Adokeza Kolabo Yake Na Rapa Kutokea Nchini Marekani πŸ‡ΊπŸ‡² @tpain

#MauaSama Ametumia Ukurasa Wake Wa Instagram Kuthibitisha Hilo Akionesha Chats Zake Pamoja na Rapa Huyo, Huku Kionjo Cha Ngoma Yake Mpya Ikisikika

"… And It’s happening soon 🀍🀍🀍 Kesho (FRIDAY) @ 08:30AM muda wetu ni ule uleee! 🌺 x 🐐 x πŸ”‡"


Hivyo Huenda Kesho Nyota Huyu Akaachia Ngoma Hiyo Aliomshirikisha #Tpain

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments