Letumuz Afichua Siri..Kumbe Vunja Bei Alimsaidia Milion 10 ya Matibabu


Reposted from @lemutuz_superbrand LE SUPERBRAND! .....Hatimaye nimejifunza kwamba kwanini huyu Kijana Mdogo MR. TOO MUCH MONEY @fred_vunjabei ANAFANIKIWA SANA katika UJASIRIAMALI NA MAHUSIANO NA WATU .....kumbe ni kwa sababu MOJA MUHIMU SANA ....NI MKWELI! HANA UONGO UONGO NA HANA UJANJA UJANJA! .....Akisema neno ANAMAANISHA na asiposema HAMAANISHI.....AKISEMA NDIO NI NDIO na AKISEMA HAPANA NI HAPANA.....Bravo watu wa aina yako siku hizi ni WACHACHE SANA ....VIJANA ni muhimu kujifunza kwa VIJANA WENGINE aliyekuzidi kakuzidi tu na mtoaji ni MUNGU NA HUWA ANA SABABU ZAKE ZA KUMPA YULE NA KUKUNYIMA WEWE......lakini Guys tupigane in the process TUJIFUNZE KUWA NA TABIA ZA KUAMINIWA NA WENGINE .....TUJIFUNZE TABIA ZA KUKUBALIKA NA WENGINE .....bado naheshimu the FACT kwamba safari yangu ya Matibabu INDIA aliguswa tu AKANIPIGIA SIMU KWA MARA YA KWANZA na AKANICHANGIA SHILLINGI MILLIONI 10 CASH. ...alinipa namba ya ACCOUNTANT WAKE akanimbia piga baada ya Dakika 10 ALICHOAHIDI KIKAWA ....hapa mjini wapo Matajiri kibao kazi LONGO LONGO NA BLAH! BLAH! KIBAO ....SALUTE FREDDY AND MUCH RESPECT! and THIS CASE IS CLOSED! - @lemutuz_superbrand

đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đŸ’¥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad