Ticker

6/recent/ticker-posts

Mimi Simo, Mwijaku Amtuhumu HAJI Manara Kuvujisha Jezi za Simba Leo


"Nina Wasiwasi Haji Manara ndie Amevujisha Jezi kwa sababu Yeye alikuwepo Kwenye Ule Mpango kazi Vunja Bei Alipochukua Hii Tenda ya Jezi za Simba na Alikuwanae Bega Kwa Bega, Nahisi Yeye Ndio Amevunjisha Jezi, Ila Huu sio Uungwana" Ameongea Kupitia Leo Tena ya Clouds FM Muhamasishaji wa Kujitegemea wa Simba MWIJAKU

TANGAZA BIASHARA YAKO NASI TUCHEKI 0714604974

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments