.

9/06/2021

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Malinyi mkoani Morogoro, Joanfaith Katalaia amepata ajali


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Malinyi mkoani Morogoro, Joanfaith Katalaia amepata ajali maeneo ya Mtimbira wilayani humo na kwamba alitibiwa kituo cha afya Mtimbira na sasa anaendelea kupatiwa matibabu hospitali ya Mtakatifu Francisco Mjini  Ifakara.


Kwa mujibu wa mbunge wa jimbo hilo, Antipas Mgungusi amesema alikuwa akitokea Morogoro Mjini kwenye majukumu yake ya kazi akirejea kwenye eneo lake la kazi.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger