.

9/02/2021

Mkurugenzi wa Upelelezi "Tumebaini Hamza Alikuwa Gaidi wa Kujitoa Mganga Hakuwa na Pesa wala Madini"Uchunguzi uliyofanywa na Polisi umebaini kuwa Hamza Mohammed ambaye aliuawa Agosti 25, 2021 baada ya kuua watu wanne alikuwa gaidi wa kujitoa muhanga

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amesema Hamza alikuwa akiishi kisiri huku akijifunza mambo ya kigaidi kwa kuangalia Mitandao inaoonesha matendo ya Al-Shaabab na makundi kama ISIS

Kwa mujibu wa DCI Wambura, kitendo cha Hamza kilikuwa ni kitendo cha ugaidi wa kujitoa muhanga. Pia, amesema Hamza hakuwa na madini wala fedha katika mazingira yake, akikanusha madai aliwashambulia Askari kwasababu walimdhulumu
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger