Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mkuu wa Mkoa "Tutapita Nyumba Kwa Nyumba Kutoa Chanjo ya Corona"Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesema mkoa wake ulipokea Chanjo 50,000 za #COVID19 ambapo hadi sasa waliochanja ni watu 10,000 kitu ambacho hakikubaliki kwa kuwa Serikali imetumia hela

Amesema ili kuhakikisha watu wanapata chanjo watashirikiana na Watendaji wa Vijiji na Kata ili kuhakikisha zoezi linakwenda nyumba kwa nyumba na kitanda kwa kitanda huku akisisitiza kuwa chanjo ni hiyari

Zoezi hilo linaanza leo Septemba 25, 2021

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments