Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Msaidizi wa rais wa Ukraine anusurika kuuawa

Msaidizi mkuu wa Rais wa Ukraine Volodymry Zelensky amenusurika jaribio la mauaji baada ya gari lake kushambuliwa kwa risasi.
 
 Mshauri wa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ukraine, Anton Gerashchenko amesema shambulizi hilo limetokea leo asubuhi karibu na kijiji cha Lesniki. 
 
Amesema gari la msaidizi mkuu wa kiongozi huyo, Sergei Shefir lilishambuliwa na zaidi ya risasi 10 na dereva amejeruhiwa vibaya. 
 
Anton amesema polisi imeanzisha operesheni maalum kuzunguka Kiev.
 

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments