Mwanaume Mmoja Akutwa Amefariki Katika Gesti ya Uwoya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





MWANAUME mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 42 amekutwa amefariki katika nyumba ya kulala wageni (gesti) ya Uyowa katika Manispaa ya Tabora mkoani Tabora.


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Safia Jongo amesema tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana Jumatano Septemba 8, 2021 katika nyumba ya kulala wageni iliyopo jirani na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora Kitete.


Amesema chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana na kwamba huenda siku zake zilikuwa zimefika akibainisha kuwa mtu anakufa mahali popote siku zake zikifika na huenda siku zake zilikuwa zimefika ingawa uchunguzi wa chanzo cha kifo chake kutoka kwa madaktari utaeleza chanzo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad