Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Ni Kisanga Nandy, Zuchu na Rosa Ree Wakutana Afrima

 


Hatimae wanamuziki bora wakike Tanzania Nandy, rosaree na Zuchu, wamekutana katika category moja "Best Female Artist in East Africa", Afrimma 2021. Mbali na watanzania hao, wapo pia wasanii wengine kutoka Kenya, Uganda na Eritrea.


Je nani unatamani kutoka Tanzania achukue Tuzo hiyo?

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments