.

9/09/2021

RC Makalla AAGIZA Wamachinga Kuondoa Biashara BarabaraniMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametangaza zoezi la kurejesha Mkoa katika hadhi yake kwa kuanza na wamachinga wanaofanya biashara katika hifadhi za barabara

Zoezi hilo linatakiwa kuanza Septemba 13, 2021 na RC Makalla amewataka waondoe vibanda vyao barabarani na kufanya biashara katika maeneo rasmi
-
Amesema hali ya ufanyaji #Biashara holela ipo kwa wingi, jambo linalopelekea watembea kwa miguu kukosa Haki zao za msingi

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger