.

9/10/2021

Simba Wakanusha Kocha Didier Gomes Kutokuwa na Vigezo vya Ukocha CAF


MICHEZO:Msemaji wa klabu ya Simba Ezekiel Kamwaga amesema, Didier Gomes atakaa kwenye benchi la ufundi kwenye michuano ya klabu bingwa Africa (CAF).

Amesema taarifa za kocha huyo kutokuwa na vigezo vya kukaa kwenye benchi kwenye michuano ya (CAF) wamezisikia

Msemaji huyo amefafanua kuwa kuanzia mwezi Januari watamuona Gomes kwenye benchi la ufundi.

Inasemekana Gomes alikuwa anasoma online hivyo anatarajia kuhitimu mwezi Januari.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger