Spika Ndugai awaomba radhi Wakristo na Watanzania waliokwazwa na kauli yake ya Yesu Kuwa na Mke

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





Spika wa Bunge Job Ndugai, ameomba radhi kwa waumini wa dini ya Kikristo na Watanzania wote waliokwazika na kauli yake aliyoitoa jana Bungeni jijini Dodoma akielezea mstari wa Biblia.

Taarifa ya iliyotolewa kwa vyombo vya habari na kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa Kimataifa Ofisi ya Bunge imeeleza kuwa, Spika Ndugai alikusudia kuelezea Yusufu alitembea na mke wake kutoka Nazareti kwenda mpaka Yerusalemu kuhesabiwa na si Yesu kama alivyotamka


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad