Ticker

6/recent/ticker-posts

Msanii Baghdad Ashangaa Album ya Ali Kiba Kuuzwa Holela Mtaanii na Wachoma CD


Msanii wa HipHop @baghdad_pg ameonesha kusikitishwa kukuta Album ya msanii mwenzake kutoka kiwanda cha muziki wa BongoFleva @officialalikiba ikiuzwa mtaani na wauza CD.

Bhagdad ambae ni moja ya viongozi wa moja ya makundi ya wasanii hapa nchini ameeleza kuwa wauza CD hao wanachoma CD kwenye vibanda vya kariako na wanalipia na kisha kuhoji kama serikali imeshindwa kusimamia swala hilo yeye anaweza, anachohitaji ni ruhusa tu.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments