AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Pia Kabila hili ambalo hupatikana haswa misituni (amazon) nchini Venezuela na Brazil lina utamaduni wa kuzikata maiti za ndugu zao katika vipande vidogo vidogo, ambavyo baadae vipande hivyo hufunikwa na majani na kuachwa kwa muda wa siku 35-mpaka 40.
→Alafu Ndugu hao watairudia mifupa iliyobakia na kuisaga mpka kua unga, ambao Unga wa mifupa hiyo watauchanganya kwenye supu na kunywa kama ishara ya kumalizika kwa zoezi la mazishi.
Hawa watu Wapo Dunia hiii hiii sio kwenye sayari ya Jupiter
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Duhhhhhh
ReplyDelete