Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Msemaji Mkuu wa Serikali Atoa Ufafanuzi Kuhusu Wamachinga Wanao Ondolewa Maeno Wanaofanya Biashara

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


"Wamachinga wanaopangwa ni wale waliokuwa wanaendesha biashara zao kwenye maeneo ambayo yamepangiwa shughuli nyingine kama wanaofanya biashara juu ya mifereji ya maji sio sawa.

Serikali imeona iwapangie eneo ambalo hawaataathiri eneo jingine la miundombinu lakini huleti athari za kiusalama kwa ajili yako mwenyewe na viongozi wa Serikali watamfuata na kumwelekeza sehemu sahihi iliyotengwa kwa ajili ya kufanyia biashara lakini pia tunataka miji yetu iwe nadhifu" @gersonmsigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments