Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Wanamgambo wa Taliban Waua Watu Watatu Kisa Mziki

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Watu watatu waliobeba silaha ambao wamejitambulisha kuwa ni Wanamgambo wa Taliban wamevamia harusini na kuamuru Muziki usimame kisha kuwaua Watu watatu na kuwajeruhi wengine kadhaa huku wakisema sababu ya kufanya hivyo ni kuzuia shughuli za Muziki ambazo zimepigwa marufuku nchini Afighanistan.
-
Msemaji wa Taliban Zabihullah Mujahid amesema Serikali haijahusika na mauaji hayo na kusema Washambuliaji wawili kati ya watatu wamekamatwa na wanashikiliwa - "Mtu akifanya mauaji hata kama ni Askari wetu tunamuona Mhalifu na tutamfikisha Mahakamani ili aadhibiwe"
-
Wanamgambo wa Taliban walitangaza kuzuia shughuli zote za Muziki baada ya kuchukua madaraka nchini Afighanistan wakisema ni kinyume na maadili ya Kiislamu.


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments