Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Waimbaji wa Bongo Wanakwama Wapi? Nigeria Sio Level Zetu, Nick Minaj na Mariah Carey Watubu


Nigeria imepiga hatua kimuziki mara 10 zaidi ya Tanzania, Tunaona Wizkid alivyotoa ngoma ya Essence, Justin Beiber aliikubali ngoma hiyo mpaka ikapelekea wawili hao kufanya Remix.Same Story, Tarehe 12.10.2021 Baada ya Video ya wimbo wa Tiwa Savage FT Brandy "Somebody's Son" kutoka, Nickiminaj ameonesha kuikubali ngoma hii na amesema amekuwa akiisikiliza sana hii ngoma kila siku kwa wiki kadhaa tangu itoke.

Ngoma hii ipo ndani ya Extended playlist ya kwake Tiwa savage "Water&Garri" iliyotoka Rasmi Mwezi wa nane mwaka huu.

Mbali na @nickiminaj , @mariahcarey pia ameipenda ngoma hii, Nickiminaj na Mariah Carey wamethibitisha hilo baada ya kutupia comment zao kwenye page ya brandy mara baada ya kupost hii ngoma kwenye page yake ya Instagram.

Je wasanii wetu wanakwama wapi kufikia level hizi za kutambulika na watu wakubwa?

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

1 Comments

  1. Unaingia kwnye utimu uksema wamarekani unaamanisha wote wakat unajua ni baadgo hao mastaa kama didy, akon, buster, Alicia, neyo, Rick Ross, snoop, omario na wengine ambao washafanya mamb diamond ni wa nchi gan

    ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)