Agizo la Polisi kwa Mabasi Kuelekea Desemba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





JESHI la Polisi limetoa onyo kwa wamiliki na waendeshaji wa vyombo vya moto, hasa mabasi ya abiria watakaokiuka sheria za usalama barabarani kwa kuzidisha abiria kwa lengo la kujipatia fedha zaidi.

 

Polisi wamesema watu hao wanaotaka kujipatia fedha bila kujali usalama na maisha ya wengine waache tabia hiyo mara moja, kwani hatu kali zitachukuliwa dhidi yao.

 

Taarifa ya polisi imeeleza kwamba kumekuwa na tabia inapoelekea mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka, kutokana na wingi wa abiria, mabasi ya abiria yamekuwa yakiweka vigoda, stuli au ndoo kwenye njia za kupita abiria ili abiria wengi zaidi wakae.

 

Tayari baadhi ya madereva na makondakta wamekamatwa kwa vitendo hivyo, na wananchi wameshauriwa kuendelea kuvifichua ili kuvikomesha.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad