Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Amos Makala Atoa Ripoti "Wamachinga Dar Wamepanga Bila Usumbufu"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema zoezi la kuwapanga vizuri Machinga katika Jiji hilo limeenda salama pasipo usumbufu wowote.

Makalla amesema ameagiza maeneo walipoondoka Machinga yasafishwe na yafanyiwe ukarabati.

"Tunashirikiana na LATRA kuhakikisha Daladala za Kariakoo zinashusha abiria Machinga Complex kuchochea Biashara"

"Nimewaelekeza Wakuu wa Wilaya kufikisha Route za Daladala kwenye maeneo yaliyotengwa kwaajili ya Machinga. Nimewaelekeza Wakuu wa Wilaya kufikisha Route za Daladala kwenye maeneo yaliyotengwa kwaajili ya Machinga"

"Kikwazo cha Usafi katika Jiji hili ilikuwa biashara holela, nashukuru hili tumelikwamua, tujiandae kwa usafi endelevu"

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments