Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Aristotee Atua na Helicopter Kanisani Kufunga NdoaMzee wa Vikao @aristotee ameamua kuipa uzito wa aina yake siku yake hii kubwa na muhimu ya Harusi , na akaona hawezi kwenda kanisani kufunga pingu za maisha kikawaida 🤗.

Huu ndio usafiri aliotua nao hapa Kanisa la Elishadai Temple Church , Boko . | #AristoteeAndEmmyWedding

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments