Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Jiandae Mtu Wangu ile Series Pendwa ya Squid Game Inarudi Tena Season 2


Hii ni Good News kwa wapenzi wa filamu, Jiandae kuipokea 'Squid Game' Season 2 kwani Mwandishi na Director wa series hiyo Hwang Dong-Hyuk amethibitisha kwenye mahojiano na Associated Press. Series hiyo imepata mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi tangu ilipooneshwa kwa mara ya kwanza September 17, 2021 kupitia mtandao wa Netflix.

Akithibitisha kwa mara ya kwanza juu ya ujio wa sehemu hiyo ya pili, Director Hwang amesema imetokana na msukumo pamoja na mahitaji makubwa ya watu

"Kumekuwa na msukumo mkubwa, uhitaji mkubwa na mapenzi makubwa ya sehemu ya pili. Lakini nachoweza kusema ni kwamba sehemu ya pili itakuwepo, ipo kichwani mwangu sasa hivi. Ni mapema sana kusema ni lini. Gi-Hun atarudi na atafanya kitu kwa ajili ya dunia." amesema Director Hwang Dong-Hyuk.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

1 Comments

Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)